Uncategorized
NINJA, NASSORO MOHAMMED WAPATA DILI LA KUKIPIGA ULAYA, WAKWEA PIPA LEO
ABDALLAH Shaibu ‘Ninja’ ambaye ni beki na mshambuliaji kinda Nassor Mohamed aliyekuwa anakipiga Mtibwa B wamepata dili la kusepa kuelekea nchini Serbia kukipiga soka lao.
Ninja anakwenda timu ya RIGA FS nchini LATVIA na Nassor Saadun anakwenda nchini Serbia kuichezea OFK ZARKOVO.
Nyota hao wote wawili wamesajiliwa kwa kandarasi ya miaka miwili kuzitumikia timu hizo.
Akizungumza na Saleh Jembe, Ninja amesema kuwa mpango mkubwa ni kujituma ili kufikia malengo yake.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.