Habari za Michezo leo
Uncategorized

UJUMBE HUU WA ALLIANCE WATUMWA YANGA

admin February 29, 2020 7:18 am

FELIX Minziro, Kocha Mkuu wa Alliance amesema kuwa wanatambua wana kazi ngumu ya kufanya leo mbele ya Yanga ila wapo tayari hawana hofu.

Alliance itakaribishwa na Yanga Uwanja wa Taifa majira ya saa 11:00 jioni ikiwa ni mchezo wa pili kukutana msimu huu kwenye ligi.

Minziro amesema: “Tunawatambua wapinzani wetu hatuna hofu nao kwani wachezaji wapo sawa nasi tutapambana kupata pointi tatu muhimu,”.

Mchezo wa kwanza Alliance ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-1 Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.

JKT TANZANIA: TUPO TAYARI KUVAANA NA AZAM FC, SAPOTI YA MASHABIKI HIZI HAPA 16 ZITAKUWA VITANI KUSAKA POINTI TATU MUHIMU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply