Uncategorized

WAWILI SASA WAONDOLEWA NDANI YA AZAM FC

admin March 2, 2020 6:19 pm


IDD Cheche aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Azam FC ameondolewa kwenye benchi hilo la ufundi na kumuacha Kocha Mkuu Arstica Cioaba.

Cheche ameondolewa kwenye benchi la ufundi baada ya kufikia makubaliano ya pande zote mbili.

Cheche anaongozana na Ofisa Habari wa Azam FC, Jaffary Maganga ambaye naye ameondolewa kwenye nafasi hiyo.

Azam FC Marchi 4 itamenyana na Simba Uwanja wa Taifa mechi inayotarajiwa kuchezwa majira saa 1:00 usiku.

GUARDIOLA; HAIKUWA RAHISI KUTWAA TAJI LA CARABAO MBELE YA ASTON VILLA YA SAMATTA KUONA MIUJUZI YA MORRISON NA LUIS NI BUKU SABA TU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply