Uncategorized

KANE HESABU ZAKE KUTUA MANCHESTER UNITED

admin March 10, 2020 3:27 am

HARRY Kane, straika wa timu ya Tottenham iliyo chini ya Kocha Mkuu, Jose Mourinho yupo kwenye mpango wa kusepa ndani ya klabu hiyo.

Inaelezwa kuwa nyota huyo kwa sasa anafikiria kuibukia ndani ya Manchester United ili kupata changamoto mpya.

Kane kwa sasa ni majeruhi, anahitaji kucheza katika timu ambayo inaweza kuwania taji la Premier League na kushiriki kwenye michuano ya Ulaya kwa mwenendo wa timu yake anahisi hakuna uwezekano huo.

Chanzo cha habari kinaeleza kuwa Kane Kwa sasa anawaza kutua Manchester United ambayo inaonyesha kuwa inaweza kufanya usajili mkubwa ikiwa chini ya bosi wao Ed Woodward.

MBWANA SAMATTA NA ASTON VILLA YAKE MAJANGA MATUPU HUKO ULAYA KOCHA ARSENAL AWAPA TANO WACHEZAJI WAKE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply