Uncategorized

BAADA YA KUDUMU MIAKA 21 MUSONYE ASEMA AMESHINDA CHOKOCHOKO NYINGI NDANI YA CECAFA

admin March 11, 2020 3:54 pm

NICOLAS Musonye aliyekuwa Katibu Mkuu wa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) amesema kuwa ameridhia kuachia ngazi hiyo na kumtakia kila la heri Mkurugenzi Mtendaji Aeuko Geucho.

Musonye alidumu kwenye nafasi hiyo kwa miaka 21 amesema kuwa amefaya kazi kwa ushirikiano mkubwa na Tanzania na ana imani ya kuendelea kutoa ushirikiano kwa kiongozi mpya.

Akizungumza na Saleh Jembe, Musonye amesema kuwa kulikuwa na chokochoko nyingi na mambo mengi aliyopitia ila alikomaa na kufanya kwa ukakamavu.

“ilikuwa ni siasa inapigwa na chokochoko zikwa nyingi mwisho wa siku nimemaliza salama, nimeridhia kuachia ngazi na nitaendelea kutoa ushirikiano kwa uongozi mpya,” amesema.

VPL; SIMBA 4-0 SINGIDA UNITED HASIRA ZA SIMBA KUPIGWA NA YANGA ZAHAMISHIWA SINGIDA UNITED, YAICHAPA 8-0

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply