KIKOSI cha Simba kikiwa kimecheza mechi 28 kimebakiza mechi 10 kukamilisha mzunguko wa pili.
Mechi zake 10 zilizobaki watakutana na wapinzani hawa:-
Simba v Ruvu Shooting
Simba v Mwadui
Mbeya City v Simba
Tz prisons v Simba
Ndanda v Simba
Namungo v Simba
Simba v Mbao
Simba v Alliance
Costal Union v Simba
Polisi Tanzania v Simba.






