Home Uncategorized NYOTA SIMBA: USHINDANI WA NAMBA HAUKWEPEKI DUNIANI KOTE

NYOTA SIMBA: USHINDANI WA NAMBA HAUKWEPEKI DUNIANI KOTE



GADIEL Michael, beki wa Simba amesema kuwa ushindani wa namba kwenye timu ni jambo la kawaida duniani kote na linaleta ukomavu kwa mchezaji.


Nyota huyo alijiunga na Simba akitokea Simba vita yake kubwa ya namba ni mbele ya bosi wake, Mohamed Hussein ambaye ni nahodha msaidizi.”

 Duniani kote huwezi kukwepa ushindani ni kitu ambacho kipo, ikitokea kuna mahali hakuna changamoto hapo hapawezi kukufanya uwe bora,” amesema.

Simba ipo nafasi ya kwanza kwenye msimamo ikiwa imecheza mechi 28 imejiwekea kibindoni pointi 71 na mabao 63.
SOMA NA HII  KUHUSU KUFUZU KOMBE LA DUNIA SIMBA NAFASI YAKE HII HAPA AFRIKA