Uncategorized

ISHU YA NIYONZIMA KUIGOMEA YANGA IPO NAMNA HII

admin March 15, 2020 10:22 am


NYOTA wa timu ya Yanga, Haruna Niyonzima amesema kuwa sababu kubwa iliyomfanya asijiunge na kikosi cha Yanga ambacho leo kitacheza mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC ni kadi zake tatu za njano alizopewa kwenye mechi alizocheza.

Niyonzima amesema kuwa hajagoma kuendelea kuitumikia n Yanga kama ambavyo inaelezwa kwani yeye ni mali ya Yanga.

“Inaelezwa kuwa nimegoma kuitumikia timu yangu hiyo sio kweli bado ni mali ya Yanga ila nimeshindwa kujiunga na wenzangu kutokana na kuwa na kadi tatu za njano,” amesema.

Niyonzima amekuwa akitimiza majukumu yake ndani ya Yanga ambapo kwenye mechi zote mbili dhidi ya mabosi wake wa zamani Simba alionyesha balaa lake ndani ya dakika zote 180.

MBELGIJI WA SIMBA ATAJA SABABU YA MLIPILI, KICHUYA, AJIBU KUTOONEKANA UWANJANI BALAA LA NAMUNGO NA YANGA LEO ACHA KABISA MAJALIWA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply