Uncategorized

MANCHESTER UNITED YAINGIA ANGA ZA BARCELONA, WAITAKA SAINI YA BEKI WA KATI UMTITI

admin March 19, 2020 6:42 pm


SAMUEL Umtiti, beki wa kati wa Barcelona yupo kwenye hesabu za kusajiliwa na klabu ya Manchester United.

Nyota huyo anatarajiwa kusajiliwa ndani ya United kwenye usajili ujao wa kipindi cha joto.

Umtiti mwenye miaka 26 yupo katikati ya msimu wake ndani ya Camp Nou lakini hana uhakika wa nafasi ya kuanza ndani ya kikosi cha kwanza.

United inaonekana ipo mstari wa mbele kuinasa saini ya beki huyo anayetumia mguu wa kushoto na Kocha Mkuu wa Barcelona, Quique Setien yupo tayari kumuachia.

KINACHOIMALIZA MBAO FC NDANI YA LIGI CHAWEKWA BAYANA MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply