Uncategorized

KANE APIGWA STOP KUSEPA NDANI YA SPURS

admin March 23, 2020 1:04 pm


MKONGWE ndani ya Liverpool, John Barnes amemshauri staa wa Tottenham Hotspur, Harry Kane kubaki ndani ya timu hiyo.

Kumekuwa na taarifa kwamba nyota huyo anampango wa kuibukia ndani ya Manchester United ili kupata changamoto mpya na kusaka makombe. 


“Kane hatakiwi kuondoka Spurs kwa sababu kama anatafuta makombe wachezaji wengi wangehama klabu zao anachotakiwa kwa sasa ni kutulia na kufanya kazi ndani ya klabu yake ya Spurs,”.

Spurs kwenye msimamo ipo nafasi ya nane ikiwa imecheza mechi 29 kibindoni ina pointi 41.

MANCHESTER UNITED WAIPIGIA HESABU SAINI YA NYOTA GREALISH WA ASTON VILLA AKILI ZA MBELGIJI WA YANGA EYMAEL ZIPO NAMNA HII

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply