Uncategorized

KOCHA SIMBA: NGUMU KUWAFUATILIA WACHEZAJI KWA SASA

admin April 7, 2020 6:04 am

SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa ni ngumu kuwafuatilia wachezaji kwa wakati huu kama wanafanya mazoezi au la.

Kwa sasa Ligi Kuu Tanzania Bara imesimamishwa kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona. 

Matola amesema:” Kwa sasa ni ngumu kujua kwamba wachezaji wanafanya mazoezi ama la kutokana na mfumo wa maisha kuwa tofauti na kila mmoja kuwa na mtindo wake mwenyewe.

“Kinachotakiwa ni kwa kila mchezaji kuwa makini kufanya yale aliyoelekezwa ili awe bora na imara pale ligi itakaporejea,”.

NYOTA WAKAZI WATATU KUTIMKA NDANI YA SIMBA KOCHA STARS: WACHEZAJI NI MUHIMU KUFANYA MAZOEZI KULINDA VIPAJI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply