Uncategorized

KIUNGO BORUSSIA DORTMUND ATAJA MABOSI WAKE WANACHOKITAKA

admin April 9, 2020 6:38 pm


KIUNGO wa Borussia Dortmund, Emre Can amesema kuwa kitendo cha yeye kutua ndani ya klabu hiyo klabu inatarajia kitu kikubwa toka kwake.

 Dortmund ilinasa saini yake kutoka kwa Juventus katika usajili wa dirisha dogo la Januari msimu huu, baada ya kukosa nafasi ndani ya timu hiyo.
 Can amesema: “Kilichonileta hapa ni ubora wanataka kuangalia ubora wangu ndiyo maana nipo hapa kwa sasa.

“Nami pia nimejipanga kufanya kweli ili kuonyesha ubora wangu ambao wao wanahitaji,”.
BAYERN MUNICH SASA KUANZA KUPIGA MATIZI YANGA YAWATAKA MASHABIKI KUCHUKUA TAHADHARI YA CORONA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply