Uncategorized
KIUNGO WA BIASHARA UNITED AINGIA ANGA ZA KARIAKOO NAMNA HII
KIUNGO machachari ndani ya Klabu ya Biashara United, Novatus Dismas inaelezwa kuwa ameingia kwenye rada za timu tatu Bongo ambazo zinaiwinda saini yake.
Lipuli ya Iringa, Yanga ya Daryenye maskani yake mitaa ya Kariakoo pamoja na Kagera Sugar ya Bukoba inaelezwa kuwa zipo kwenye hesabu za kumpata nyota huyo.
Dismas ndani ya Biashara United amekuwa na mchango mkubwa ambapo mpaka sasa ametupia mabao mawili.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.