Uncategorized

HAWA JAMAA NI WAZEE WA MIPENALTI, MBABE WAO HUYU HAPA

admin April 20, 2020 3:29 pm

KWENYE Ligi Kuu Bara kazi kubwa kwa washambuliaji ni kutupia kila wapato nafasi ila kuna wataalamu wa kupiga mipira iliyokufa yaani penalti.

Hawa jamaa mbali ya kufunga kwenye harakati za kumalizia pasi za mwisho ila wamefunga pia kwa penalti namna hii:-

Peter Mapunda Mapunda anakipiga Mbeya City ametupia mabao tisa kati ya hayo sita amefunga kwa penalti.

Meddie Kagere anakipiga Simba, ametupia mabao 19 kati ya hayo tatu amefunga kwa penalti.

Sixtus Sabilo anakipiga Polisi Tanzania ametupia mabao saba kati ya hayo mawili amefunga kwa penalti.
Marcel Kaheza anakipiga ndani ya Polisi Tanzania ametupia mabao saba kati ya hayo mawili ametupia kwa penalti.

Ayoub Lyanga anakipiga Coastal Union ametupia mabao 7 kati ya hayo mawili amefunga kwa penalti.

KOCHA AS VITA ABARIKI MOZIZI KUTUA YANGA…AFUNGUKA MAAJABU YAKE..!! MSHAMBULIAJI MWILI JUMBA, KIPENZI CHA MASHABIKI ATOA AHADI NZITO KWA MASHABIKI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply