Uncategorized

LONGSTAFF AWEKWA KWENYE HESABU ZA AC MILAN ATAJA MASHARTI YA KUWAGA WINO

admin April 20, 2020 8:59 am

MKATABA wa kiungo machachari ndani ya Newcastle United Matty Longstaff unameguka Juni 30 msimu huu huku Klabu ya AC Milan ikiwa sokoni kuisaka saini yake.

Inaripotiwa kuwa tayari kiungo huyo yupo tayari kuongeza kandarasi nyingine iwapo klabu hiyo itakamilisha dili la kupata mmiliki mpya wa klabu hiyo.

Nyota huyo mwenye miaka 20 inaelezwa kuwa yupo tayari kufanya kazi na bosi mpya anayetajwa kuhitaji kuwa mmoja ya wamiliki wa klabu hiyo ambayo ni kampuni kutoka Uarabuni.

Msimu huu nyota huyo amecheza mechi 13 ambapo alianza kwenye mechi 11 amefunga mabao matatu kwenye jumla ya mashindano yote.
ISHU YA YANGA KUSHUSHA PANCHA MOJA MATATA UONGOZI WAFUNGUKA, WAKIRI KUWAFUATILIA KWA UKARIBU GUMZO LA UNUNUZI WA NEWASTLE NA KASHFA YA KIFO CHA MWANDISHI KASHOGGI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply