Uncategorized

DAVIES ATAJA SABABU YA KUENDELEA KUBAKI BAYERN MUNICH

admin April 21, 2020 4:29 pm


ALPHONSO Davies beki wa kushoto wa Klabu ya Bayern Munich ameongeza kandarasi ya kuitumikia timu hiyo mpaka 2025.

Nyota huyo mwenye uwezo wa kucheza pia kama winga amesema kuwa anafurahia maisha ndani ya klbu hiyo jambo ambalo limemfanya akubali kuongeza kandarasi hiyo.

Ana umri wa miaka 19 na jezi yake uwanjani pia ni namba 19 anakipiga pia ndani ya timu yake ya Taifa ya Canada akiwa amecheza jumla ya mechi 17 na kufunga mabao matano.

SITA WATUSUA KWENYE SHINDANO LA CHOMOKA NA GARI JIPYA, WAOGELEA MINOTI CORONA YAMFANYA MORIS KUMKUBUKA KOCHA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply