Uncategorized

HIKI NDICHO ANACHOKIFANYA FEI TOTO

admin April 21, 2020 6:29 am


FEISAL Salum nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya Yanga amesema kuwa kwa sasa anachukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona na kufanya mazoezi binafsi ili kuwa bora.

Tayari Fei Toto alikuwa ameingia kwenye mfumo wa Kocha Mkuu Luc Eymael raia wa Ubelgiji ambapo alikuwa na uhakika wa namba kikosi cha kwanza kabla ya Ligi Kuu Bara kusimamishwa kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona.

Fei amesema:”Nipo vizuri kwa sasa ninachukua tahadhari na kujilinda dhidi ya Virusi vya Corona, ni ombi langu pia kwa mashabiki na watanzania kiujumla kuendelea kuchukua tahadhari kwani Virusi vipo,” .

THOMAS PARTEY APIGIWA HESABU KALI NA ARSENAL YANGA WACHEKELEA SAPOTI YA MDHAMINI KUMWAGA MKWANJA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply