Uncategorized

ARSENAL WAJIWEKA PEMBENI ISHU YA AUBA

admin April 26, 2020 11:02 am


ARSENAL imeamua kujiweka kando kwenye ishu ya mazungumzo ya kuongeza mkataba na nyota wao Pierre-Emerick Aubameyang.

Inaelezwa kuwa huenda nyota huyo mwenye miaka 30 akaibukia ndani ya Klabu ya Inter Milan ambayo inaiwinda saini yake.

Auba ambaye ni nahodha wa Arsenal inaelezwa kuwa alikuwa anataka kuongezewa mkwanja wa malipo jambo ambalo limekuwa gumu kupenya kwenye maskio ya mabosi hao.


Miongoni mwa klabu ambazo zinatajwa kuwinda saini yake ni pamoja na Barcelona na Manchester United.

TUACHE UNAFIKI, TUMUAMBIE NDEMLA UKWELI, SIMBA SI SEHEMU SALAMA KWAKE…! YONDANI ANACHOWAONYESHA YANGA WENGI HAWAJAFANYA, KUFENI NAYE KWA SHIDA NA RAHA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply