Uncategorized

KIUNGO MKANDALA AZICHONGANISHA AZAM NA NAMUNGO

admin April 26, 2020 6:02 am
AZAM FC na Klabu ya Namungo zipo kwenye hesabu za kuinasa saini ya kiungo Cleophance Mkandala anayekipiga ndani ya Tanzania Prisons.

Kiungo huyo amekuwa kwenye ubora wake msimu huu ambapo ametoa jumla ya pasi nne za mabao kwenye klabu

yake.

Habari zinaeleza kuwa Azam FC iliyo chini ya Kocha Mkuu Arstica Cioaba ina mpango wa kuboresha kikosi kwa ajili ya msimu ujao huku Namungo ikisaka mbadala wa Lukas Kikoti anayetajwa kuibukia Simba.

Kocha Mkuu wa Namungo, Hitimana Thiery amesema kuwa masuala ya usajili kwa sasa bado wakati wa kuzungumzia haujafika.

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA JUMAPILI KINACHOMSOTESHA BENCHI KABWILI HIKI HAPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply