Uncategorized

KAKOLANYA ACHEKELEA MAISHA NDANI YA SIMBA

admin April 29, 2020 10:11 am

BENO Kakolanya, mlinda mlango namba mbili wa Simba amesema kuwa anafurahia maisha anayoishi ndani ya kikosi hicho cha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Ligi kwa sasa imesimamishwa na Serikali kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona ambavyo ni janga la dunia.

Kakolanya amesema:”Nipo ndani ya Simba kwa sasa ninafurahia maisha yangu kwa kuwa ni miongoni mwa timu bora na kuna ushirikiano mkubwa kuanzia kwa viongozi pamoja na wachezaji achilia mbali sapoti ambayo tunaipata kutoka kwa mashabiki,” .

Simba ikiwa imecheza mechi 28, Kakolanya amekaa kwenye mechi saba za ligi msimu huu.

HILI HAPA KOSI LENYEWE LA WANA KOMA KUMWANYA, MBEYA CITY FEI AWATAKA WATANZANIA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA CORONA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply