Uncategorized

HILI HAPA KOSI LENYEWE LA WANA KOMA KUMWANYA, MBEYA CITY

admin April 29, 2020 9:11 am


Kikosi cha Mbeya City kile chenyewe cha mwanzo kabisa msimu wa 2013/14 kilichokuwa kinajiita wana Koma Kumwanya: David Burhan (Marehemu), John Kabanda, Hassan Mwasapili, Deogratius Julius, Antony Matogolo, Yohana Morris, Mwagane Yeya, Steven Mazanda, Paul Nonga,Fidelis Castor,Deus Kaseke, Yussuf Willson,Alex Sethi.

Juma Mwambusi ndiye alikuwa bosi kwenye benchi la ufundi pale amesema kuwa kilichoipa mafanikio timu hiyo wakati ule ni ushirikiano mkubwa wa wachezaji katika maandalizi, sapoti ya viongozi.

HAWA HAPA WAMESHIKILIA HATMA YA NYOTA MTIBWA SUGAR ANAYEWINDWA NA YANGA KAKOLANYA ACHEKELEA MAISHA NDANI YA SIMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply