Home Uncategorized BALAA LA YOHANA MKOMOLA LIPO HIVI

BALAA LA YOHANA MKOMOLA LIPO HIVI

0
Yohana Mkomola nyota

Mtanzania anayekipiga ndsni ya FK Vorkslka Poltava timu ya chini ya miaka 21 ametumia dakika 638 baada ya kucheza mechi 14.

Ameanza kikosi cha Kwanza mechi 9 na kuanzia benchi mechi tano huku kumaliza dakika 90 mechi moja.

Ametupia mabao sita na kutoa pasi mbili za mabao.