Uncategorized

KIUNGO BIASHARA UNITED ANA IMANI NA SIMBA NA YANGA KWENYE KUKUZA VIPAJI

admin May 2, 2020 3:43 am

NOVATUS Dismas, kiungo wa Biashara United anaamini kuwa Simba na Yanga haziui kipaji cha mchezaji.

Nyota huyo amesema kuwa kikubwa kinachosababisha kipaji kupotea kwa mchezaji ni kushindwa kujilinda yeye mwenyewe.

“Hakuna timu ambayo inaua kipaji labda mchezaji mwenyewe aamue kushindwa kujilinda lakini timu hizo kubwa ni njia ya kutusua kwa wengi.

“Simon Msuva na Mbwana Samatta hawa ni miongoni mwa wale ambao wamepita timu hizo kubwa, kwa sasa wametusua,” .

MITAMBO INAYOMPA JEURI MGUNDA ARSENAL IKIPATA OFA NONO YA AUBA INAFANYA BIASHARA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply