Uncategorized

NENO LA KAGERA SUGAR KWA WATANZANIA WOTE KUHUSU CORONA

admin May 2, 2020 4:43 am


JUMA Nyosso, nahodha wa timu ya Kagera Sugar amesema kuwa ni muhimu kwa kila mmoja kwa sasa kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona.

Ligi Kuu Tanzania Bara imesimamishwa kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona ambavyo ni janga la dunia.

Nyosso amesema:-‘Wakati huu ni muhimu kila mmoja akachukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona ili kujilinda yeye na jamii kiujumla,” .

Kagera Sugar iliyo chini ya Kocha Mkuu Mecky Maxime ni miongoni mwa timu zilizokuwa zinaleta ushindani msimu huu.

Ipo nafasi ya 8 ikiwa na pointi 41 kibindoni baada ya kucheza mechi 29 za ligi na imefungwa mabao 31 huku ikifunga 36.

KOCHA MRUNDI AVUTIWA NA BEKI WA SIMBA MTAALAMU WA KUTENGENEZA MABAO MWENDO WA ALLIANCE FC ULIKUWA WA KUSUASUA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply