Uncategorized

KOCHA MRUNDI AVUTIWA NA BEKI WA SIMBA MTAALAMU WA KUTENGENEZA MABAO

admin May 2, 2020 3:43 am

SHOMARI Kapombe, beki wa Simba ni miongoni mwa wachezaji anaowakubali Kocha Mkuu wa Namungo, Hitimana Thiery raia wa Burundi.

Kapombe amekuwa kwenye ubora wake msimu huu wa 2019/20 ndani ya Simba ambao ni vinara wakiwa na pointi 71 kibindoni.

Amehusika kwenye mabao matano kati ya 63 yaliyofungwa na Simba ambapo kazi yake ilikuwa ni kumwaga maji kutoka pembeni ya uwanja na guu lake la kulia ndilo lenye nguvu nyingi.

“Kwa nafasi yake yupo vizuri anajua kulinda na kuanzisha mashambulizi pia ni aina ya mabeki wanaojituma muda wote,” amesema.

ARSENAL IKIPATA OFA NONO YA AUBA INAFANYA BIASHARA NENO LA KAGERA SUGAR KWA WATANZANIA WOTE KUHUSU CORONA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply