Uncategorized

KIBAILO KUTAJA ATAKAPOKUWA MSIMU UKIKAMILIKA

admin May 3, 2020 2:13 pm


HASSAN Kibailo, beki wa kulia wa Klabu
ya Coastal Union amesema kuwa atataja atakapokuwa msimu ujao pale msimu utakapokamilika.

“Bado ligi haijaisha hivyo siwezi kuzungumza kuwa nitakuwa wapi wakati nipo ndani ya Coastal Union, msimu ukikamilika nitajua wapi nitakapokuwa,” amesema.

Coastal Union ipo nafasi ya tano kwenye msimamo kibindoni ina pointi 46.

Kwa sasa ligi imesimama kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona.

NYOTA NAMUNGO FC WAMEWEKWA KATI KWA SIMBA NA YANGA KWA MTINDO HUU VIDEO: KISA CORONA, OFISA HABARI WA SIMBA ATOA KAULI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply