Habari za Michezo leo
Uncategorized

SIMON MSUVA AMEKUMBUKA KUSHANGILIA BAO

admin May 4, 2020 1:56 pm


SIMON Msuva mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga ndani ya Klabu ya Difaa El Jadida inayoshiriki Ligi Kuu nchini Morroco amesema kuwa amekumbuka kufunga na kushangilia ndani ya uwanja jambo ambalo kwa sasa haliwezi kutokea.

Kutokana na janga la Virusi vya Corona ambavyo ni janga la dunia kwa sasa ligi nyingi zimesimamishwa kuchukua tahadhari ya maambukizi ikiwa ni pamoja na ile ya Morroco.

Msuva amesema:-“Nimekumbuka kuwa ndani ya uwanja na kushangilia bao ila kwa sasa ni ngumu kuweza kutokea, muhimu kuchukua tahadhari na kuendelea kujilinda.”

AZAM FC WANATAKA MAJEMBE YA KAZI MATATU POCHETTINO KURUDI TENA SPURS

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply