Uncategorized

DILI LA HUMUD KWENDA YANGA LIMEFIKIA HAPA

admin May 9, 2020 10:40 am


UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa bado una mpango na nyota wao Abdulahman Humud ambaye anatajwa kuwaniwa na Yanga.

Humud ambaye amejiunga na Klabu ya Mtibwa Sugar amekuwa kwenye ubora wake amekuwa akihusishwa kujiunga na Yanga yenye mpango wa kuboresha kikosi chao.

Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru amesema kuwa bado hawajafikiria kuuza wachezaji kwa sasa kwa kuwa wana mipango nao.

“Tumekuwa tukskia wachezaji wetu wanawindwa na baadhi ya timu hilo lipo wazi ikiwa ni pamoja na Humud ila hatuna mpango wa kumuuza kwa sasa.

“Bado tuna mipango na wachezaji wetu na hesabu zetu ni kuona kwamba wanakomaa ili waweze kuleta ushindani,” amesema.

LEWANDOWSKI ALITUPIA MABAO 16 KWENYE MECHI 11 MFULULIZO BONGE MOJA YA REKODI NIYONZIMA AWAVUTA WAKONGWE WAWILI KASEJA NA KADO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply