Uncategorized

YANGA WAOMBWA KUENDELEA KUPATA NAKALA YA JARIDA LAO

admin May 9, 2020 10:40 am


UONGOZI wa Yanga umesema kuwa mashabiki wanapaswa waendelee kujipatia nakala ya jarida la timu yao ili kujifunza mengi zaidi.

Hivi karibuni Yanga ilizindua jarida lao maalumu ambalo lina malengo ya kuwapa habari wanachama wao pamoja na mashabiki.

Ofisa Uhamasishaji na Msemaji wa Yanga, Antonio Nugaz amesema kuwa ndani ya jarida hilo kuna mambo mengi ambayo yatakuwa ni faida kwa wanachama pamoja na wapenzi wa klabu hiyo.

“Ni jarida zuri na maalumu kwa ajili ya wanaohitaji kupata taarifa zaidi za Yanga pia ni muhimu kujivunia kilicho bora, bei yake ni sh 5,000  ila ukinunua na jezi yenye chapa ya GSM ile orijino unapewa na jarida bure,” amesema.

KUMBE SANCHO NI BALAA, TIMU KIBAO ZINAMUWINDA IKIWA NI PAMOJA NA MANCHESTER CITY LEWANDOWSKI ALITUPIA MABAO 16 KWENYE MECHI 11 MFULULIZO BONGE MOJA YA REKODI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply