Uncategorized

DAVID MOLINGA ATAJA HATMA YAKE NDANI YA YANGA

admin May 21, 2020 8:17 am


DAVID Molinga, mshambuliaji namba moja ndani ya Yanga amesema kuwa hana mpango wa kusepa ndani ya klabu hiyo kwa sasa.

Imekuwa ikielezwa kuwa miongoni mwa nyota ambao panga linawahusu msimu ujao ndani ya Yanga ni pamoja na Molinga mwenye mabao nane.

Molinga amesema:”Sitarajii kuondoka kwa sasa ndani ya Yanga labda wakati ujao iwapo mabosi wenyewe wataniambia niondoke ila ninachojua mimi bado ni mchezaji wa Yanga,” amesema.

Yanga ipo nafasi ya tatu kibindoni ina pointi 51 baada ya kucheza mechi 27 za Ligi Kuu Bara.

BREAKING: LIGI KUREJEA JUNI MOSI MTUPIAJI ALIYEZIPIGA CHINI YANGA NA SIMBA AJENGA USHKAJI NA BENCHI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply