Uncategorized

ULIMWENGU: NITACHEZA NDANI YA YANGA

admin May 21, 2020 6:17 am


ULIMWENGU Jules, nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya Rayon Sports ya Rwanda anatajwa kuingia kwenye rada za Yanga.

Habari zinaeleza kuwa mpango mkubwa wa mabosi hao wa Jangwani ni kusuka kikosi kazi kwa ajli ya msimu ujao ili kufikia malengo yao ya kushiriki mechi za kimataifa.

Ulimwengu ambaye ni mshambuliaji amesema kuwa hana hiyana iwapo utaratibu utafuatwa yeye atacheza ndani ya Yanga.

“Ninaamini katika uwezo wangu sitashindwa kucheza kikosi cha kwanza kwani kipaji kipo ndio maana hata huku nilipo ninacheza, mambo yakiwa sawa nitacheza Yanga,” amesema.


MALENGO YA OZIL NI KUMALIZANA NA MABOSI WAKE KWANZA NDANI YA ARSENAL MIRAJI ATHUMANI ATUMA UJUMBE HUU KWA MASHABIKI WAKE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply