Uncategorized

YANGA KUREJEA MAZOEZINI RASMI JUNI MOSI

admin May 22, 2020 10:47 am

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umeweka wazi kuwa timu yao itaanza mazoezi Juni mosi baada ya Serikali kuruhusu shughuli za Michezo kuanza.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli, Mei 21 alitangaza kuzirejesha shughuli zote za michezo ambazo zilisimamishwa Machi 17 kutokana na janga la Virusi vya Corona.

Ofisa Habari Yanga, Hassan Bumbuli amesema:- “Sisi tutaanza mazoezi rasmi Juni Mosi na tayari tumewasiliana na wachezaji kuhakikisha wanakuwepo karibu na Dar es Salaam kabla ya muda huo kufika,” amesema.

ALEX SONG AELEZA ALIVYOFUATA MKWANJA BARCELONA ANUNUE FERRARI SIMBA YATUMA UJUMBE HUU KWA YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply