Uncategorized

SIMBA: HAKUNA UADUI DHIDI YA YANGA

admin May 23, 2020 1:47 pm


UONGOZI wa Simba umesema kuwa hakuna uadui kati yao na Yanga bali ni ushindani tu ndani ya uwanja.

Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa wengi wanashindwa kuelewa kwa kudhani kuna uadui.

“Wengi wanashindwa kuelewa kwamba hakuna uadui kati yetu na Yanga zaidi ni kwamba ni ushindani ndani ya uwanja hakuna kingine.

“Kwetu sisi Yanga na Simba sio dini ni klabu tu za mpira, nikiwa kizazi cha tatu chenye uhusiano wa moja kwa moja na Simba  na Yanga, muda wote nawashangaa wanaosema Yanga na Simba ni maadui,” amesema.   

YANGA YATOA TAMKO KUHUSU KUREJEA KWA LIGI KUU BARA YANGA:TULIUKUMBUKA MPIRA, TUTAPAMBANA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply