Uncategorized

WAWA AGOMA KUILETA FAMILIA BONGO MAZIMA

admin May 24, 2020 7:47 am


PASCAL Wawa beki kisiki wa Simba amesema kuwa hana hesabu za kuleta familia yake Bongo kwa sasa kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona.

Machi 17, Ligi Kuu Bara Bara ilisimamishwa na Serikali kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona ambavyo vinaivurugavuruga dunia ila kwa sasa inatarajiwa kurejea Juni Mosi.


Wawa amesema kuwa mambo bado sio shwari haoni haja ya kuleta familia yake ambayo ipo nchini Ivory Coast. 


“Tunapita kipindi kigumu kwa sasa ila hakuna chaguo la kufanya ni lazima tuombe dua mambo yawe safi, sina mpango wa kuleta familia Tanzania kwa sasa huko walipo tunawasiliana,” amesema.

MTIBWA SUGAR WACHEKELEA TAMKO LA MAGUFULI HIZI HAPA MECHI ZA RAZACK ABAROLA WA AZAM FC MSIMU HUU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply