Uncategorized

YANGA YAWACHOMOA NYOTA WATATU KUTOKA SIMBA, WAINGIA JUMLAJUMLA KIKOSI CHA KWANZA NAMNA HII

admin May 24, 2020 5:47 am

HARUNA Niyonzima kiungo mshambuliaji ndani ya Yanga iwapo angepewa nafasi ya kupanga kikosi cha kwanza angewachomoa nyota watatu kutoka Simba na kwenda nao sawa.

Hivi ndivyo ambavyo litakuwa kosi lake namna hii:- Kipa atakuwa Juma Kaseja wa KMC

Beki wa kulia; Juma Abdul wa Yanga

Beki wa kushoto: Mohamed Hussein wa Simba

Beki wa kati: Lamine Moro wa Yanga

Beki wa kati: Kelvin Yondani wa Yanga

Kiungo mkabaji: Said Ndemla wa Simba

Winga: Mapinduzi Balama wa Yanga.

Kiungo wa kati: Haruna Niyonzima

Mshambuliaji: Ditram Nchimbi wa Yanga.

Mshambuliaji:John Bocco wa Simba.

Winga: Bernard Morrison wa Yanga

JEMBE JIPYA SIMBA KUTUA KESHO, NDANI YA SPOTIXTRA JUMAPILI HAWA HAPA WANA TUZO ZAO KABATINI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply