Uncategorized

KAHATA ACHEKELEA MAISHA NDANI YA SIMBA

admin May 26, 2020 5:47 pm


KIUNGO wa Simba, Francis Kahata raia wa Kenya amesema kuwa mabosi wake wa sasa wapo vizuri kwenye masuala ya mipango tofauti na Gor Mahia.

Kahata alitua ndani ya Simba akitokea Kenya alipokuwa akikipiga ndani ya Gor Mahia msimu wa 2019/20 kwa sasa yupo nchini Kenya.

Nyota huyo amesema:-“Simba ipo vizuri kwa upande wa mshahara pamoja na ushirikiano ambao unatolewa kuanzia kwa viongozi pamoja na wachezaji ninafurahi kuwa ndani ya Simba.” 

Kahata ametupia jumla ya mabao manne na kutoa pasi sita za mabao kati ya mabao 63 ya Simba.

LIPULI FC YAPIGIA HESABU 10 BORA NDANI YA LIGI KUU BARA MARIOO WA INATOSHA AWASHUKURU MASHABIKI WAKE, KAZI NYNGINE ADAI ZINAKUJA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply