Uncategorized

SIMBA WAWASILI KAMBINI RASMI

admin May 27, 2020 6:47 am

LEO wachezaji na benchi la ufundi la Klabu ya Simba wamewasili kambini leo kwa ajili ya kujiaandaa na mechi za Ligi Kuu Bara pamoja na Kombe la Shirikisho.

Simba ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara na kwa sasa ni vinara wakiwa na pointi 71.

Masuala ya michezo yalisimamishwa na Serikali kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona ambavyo vinaivurugavuruga dunia.

Juni Mosi masuala ya michezo kwa upande wa Ligi Kuu Bara, Ligi Daraja la Kwanza na la Pili yanatarajiwa kuanza baada ya Serikali kuruhusu kwa kile walichoeleza kuwa hali ya maambukizi imepungua.

VIDEO:HIVI NDIVYO VIPIMO AMBAVYO WAMEFANYA YANGA KUMEKUCHA YANGA, KAZI BADO INAENDELEA LEO TENA VIPIMO PAMOJA NA DARASA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply