Uncategorized

JEMBE LILILOTUA USIKU WA LEO SIMBA KUUNGANA NA WENZAKE MAZOEZINI

admin May 31, 2020 2:47 am


FRANCIS Kahata, kiungo mshambuliaji wa Simba amerejea Bongo akitokea Kenya usiku wa kuamkia leo ataungana na wachezaji wenzake kwenye mazoezi ya leo yatakayofanyika kwenye uwanja wao uliopo Bunju.

Kiungo huyo alikwama nchini Kenya baada ya mipaka kufungwa kutokana na janga la Virusi vya Corona jambo lililopelekea ugumu wa safari yake.

Wachezaji wa Simba walianza mazoezi Mei 27 mara baada ya kuripoti kambini na kuanza mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na mechi za Ligi Kuu Bara pamoja na Kombe la Shirikisho.
Kiungo huyo ametupia mabao manne na kutoa pasi sita za mabao ndani ya Simba iliyofunga mabao 63.

TUSIJISAHAULISHE CORONA BADO IPO, KILICHOBAKI TUMALIZE MSIMU HUKU TUKICHUKUA TAHADHARI MORRISON ATIKISA YANGA,NDANI YA SPOTIXTRA JUMAPILI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply