Uncategorized
SERIKALI YATOA MUONGOZO RASMI UTAKAOTUMIKA KWENYE MASUALA YA MICHEZO
SERIKALI leo, Mei 31 imetoa mwongozo wa kufuata katika michezo ya ligi kuu za soka nchini ambazo zinatarajiwa kuanza Juni Mosi, 2020.
Katibu Mkuu Wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na MsemajI Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas amesema kuwa ni muhimu kuzingatia na kwa yoyote atakayekiuka taratibu hizo hatua kali zitachukuliwa dhidi yake.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.