ILE burudani ya soka inatarajiwa kuanza kutimua vumbi, Juni 13, ambapo mechi za ufunguzi zitakuwa ni viporo vilivyobaki kabla ya janga la Virusi vya Corona.
Hizi hapa zitaanza Juni 13
Mwadui FC V Yanga, Uwanja wa Kambarage.
Coastal Union v Namungo FC, Uwanja wa Mkwakwani.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.