Uncategorized

JOSE MOURINHO AMTAKA JIMEZEZ WA WOLVES

admin June 10, 2020 9:47 am


RAUL Jimenez, mshambuliaji wa Klabu ya Wolves yupo kwenye hesabu za Kocha Mkuu wa Tottenham Hotspur, Jose Mourinho anayemtaka ndani ya kikosi chake.

Nyota huyo wa Wolves raia wa Mexico mwenye miaka 29 amemvutia Mourinho ambaye anaamini kuwa atakuwa msaada mkubwa ndani ya kikosi chake hasa kwa nafasi ya utupiaji mabao.

Mourinho, anaamini kuwa atakuwa na pacha matata akiungana na mshambuliaji wake Harry Kane, huku kigezo cha umri kuwa mkubwa kikitajwa kuwa kitapunguza gharama ya kumpata.

Ametupia jumla ya mabao 22 akiwa na pasi 10 za mabao akiwa amecheza jumla ya mechi 44 msimu huu Kwenye mashindano yote kiujumla.

KOCHA AYAKATAA MABAO YA BOCCO WA SIMBA SIMBA YAENDELEA KUTOA TAHADHARI NA SOMO KWA MASHABIKI KUHUSU CORONA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply