Uncategorized

BALAA LA DAVID MOLINGA NDANI YA LIGI LIPO NAMNA HII

admin June 11, 2020 7:47 am


DAVID Molinga ni mshambuliaji ambaye amekuwa na balaa ndani ya uwanja licha ya wengi kuamini kwamba ni mzito akiwa uwanjani kutokana na kudaiwa kuwa ameongezeka kilo.

Kwa sasa ndani ya Yanga yeye ndiye kinara wa kutupia mabao akiwa na mabao nane kati ya 31 ambayo yamefungwa na Yanga.

Yanga ikiwa imecheza mechi 27 mpaka sasa za Ligi Kuu Bara amepata nafasi ya kucheza mechi 20 na kukosekana kwenye mechi saba pekee za ligi.

Mechi zake za Ligi Kuu Bara zilikuwa namna hii:- Polisi Tanzania (dk 90), JKT Tanzania (dk 60), Alliance FC (dk 90), Ruvu Shooting (dk 90), Coastal Union (dk 90), Mbao FC (dk 74), Ndanda (dk 90), KMC (dk 90).

 Mbeya City (dk 90), Tanzania Prisons (dk 90), Biashara United (dk 45), Azam FC (dk 90), Singida United (dk 67), Mtibwa Sugar (dk 68), Lipuli (dk 29), Ruvu Shooting (dk 68), Mbeya City (dk 64), Prisons (dk 30) na Mbao (dk 63), KMC (24).

JONAS MKUDE AFUNGUKA HALI YAKE ..AWAOMBA MASHABIKI KUMUOMBEA KMC YAGOMEA KUSHUKA DARAJA, YATAJA MBINU WATAKAZOTUMIA KUBAKI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply