Uncategorized

DILI LA RUTANGA YANGA HAWA WAMEHUSIKA KUMPA MIAKA MIWILI

admin June 17, 2020 4:47 am

ERIC Rutanga alisaini kandarasi ya awali na Klabu ya Polisi Rwanda licha ya kuhusishwa kuibukia ndani ya Yanga.

Rutanga amesema kuwa kule alisaini mkataba wa awali ambao unampa ruhusa ya kufanya mazungumzo na timu nyingine. 
Beki huyu wa kushoto anayekipiga ndani ya Klabu ya Rayon Sports inaelezwa kuwa ameshamalizana na Yanga kwa dili la miaka miwili.

Meneja wa mchezaji huyo, Herve Tra Bi amesema kuwa wameshamalizana na mabosi wa Yanga. “Tayari tumeshamalizana na mabosi wa Yanga, Hersi Said, Arafat Haji kutoka GSM ndio tuliokuwa katika mipango ya kuhakikisha tunakamilisha usajili wa Eric Rutanga lakini bila kumsahau Kocha, Luc Eymael,” .

WATATU KIKOSI CHA KWANZA WA YANGA LEO KUIKOSA JKT TANZANIA WACHEZAJI WA ARSENAL WANANYOSHWA KWA KUFANYA USAFI NA ARTETA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply