IKIWA leo Juni 21, Azam FC itakaribishwa na Yanga, Uwanja wa Taifa majira ya saa 10:00 jioni, kwa mujibu wa gazeti la Spoti Xtra limetaja kuwa kikosi cha Azam FC kinaweza kuwa namna hii:-
Benedict Haule
Agrey Morris
Abdalah Kheri
Nicolas Wadada
Bruce Kangwa
Idd Kipagwile
Richard Djod
Obrey Chirwa
Salum Abubakar
Idd Seleman
Nevere Tegere
SOMA NA HII MASHUJAA WA USWAHILINI; SAMATTA, KIBA, TUWAUNGE MKONO NIA YAO NJEMA YA KUIRUDISHIA JAMII