Uncategorized

LIVE: TANZANIA PRISONS 0-0 SIMBA

admin June 28, 2020 1:47 pm


UWANJA wa Sokoine 

Tanzania Prisons 0-0 Simba
Zimeongezwa dk 2
Dakika 45 zimekamilika Dakika ya 38 Kimenya anaonyeshwa kadi ya njanoDakika ya 33 Kimenya anapiga kona ya nne kwa Prisons Simba wakiwa hawajapata kona 
Dakika ya 30 Ezekia anapiga faulo inayokutana na mikono ya Manula
Dakika ya 23 Fraga anachezewa faulo inapigwa nabNyoni
Dakika ya 19 Prisons wanapiga faulo kuelekea kwa ManulaDakika ya 11 Manula anaokoa kona iliyopigwa na Kimenya.Dakika ya 7 Prisons wanapelekà mashambulizi Simba
Dakika ya 05 Manula anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 04 Kimenya alifanya jaribio lilipanguliwa na Manula
Dakika ya 01 Prisons walifanya shambulizi kali liliokolewa na Manula

MOLINGA AKUNJA JAMVI LAKE YANGA, KUIBUKIA MOROCCO EYMAEL ATAJA KITAKACHOIPA MATAJI YANGA, SVEN ALIUONA UBINGWA WA SIMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply