Uncategorized

SIMBA YAIPANGIA AZAM FC KIKOSI KAZI NAMNA HII

admin June 30, 2020 12:47 pm


IKIWA kesho wanakutana kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya robo fainali, Uongozi wa Simba umepanga kikosi kazi cha Azam FC ambacho ni hatari kikiwa uwanjani. 

Simba itamenyana na Azam FC Uwanja wa Taifa majira ya saa 1:00 usiku.

Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara kupitia Ukurasa wake wa Instagram amewapanga namna hii huku akisema kuwa hajatazama wale ambao wapo nje ya nchi kutokana na ‘loc down’:-Razack Abarola amemuweka langoni.

Agrey Morris amesema kama ana miaka 20 hivi

 Yakub Mohamed

 Mudhathir Yahaya amesema ni mpiganaji uwanjani

Salum Abubakar, ‘Sure Boy’ amesema ni mpiga pasi bora.

Idd Kipagwile

 Idd Naldo mtihani mkubwa

 Obrey Chirwa

 Shaban Chilunda

ALLIANCE KAZI KUBWA LEO NA NAMUNGO ROBO FAINALI MANCHESTER UNITED YAGOMA KUTOA DAU KUBWA KUMPATA SANCHO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply