Home Uncategorized WAAMUZI WA MCHEZO WA NUSU FAINALI YA KOMBE LA SHIRIKISHO KATI YA... Uncategorized WAAMUZI WA MCHEZO WA NUSU FAINALI YA KOMBE LA SHIRIKISHO KATI YA SIMBA V YANGA By admin - July 10, 2020 0 KUELEKEA mchezo wa dabi utakaopigwa Julai 12, Uwanja wa Taifa hawa hapa waamuzi wa mchezo huo wa hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho. Simba itamenyana na Yanga, majira ya saa 11:00 jioni.