Uncategorized

DODOMA FC YAUNGANA NA GWAMBINA FC MSIMU WA 2020/21 ZIPO NDANI YA LIGI KUU BARA

admin July 11, 2020 6:47 pm


USHINDI wa mabao 2-0 walioupata Dodoma FC unawapa tiketi ya kupanda moja kwa moja ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara.

Dodoma FC inaungana na Gwambina ambayo ipo kundi B ambayo tayari nayo imeshakata tiketi ya kushiriki Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2020/19.

Dodoma FC imepanda baada ya kufikisha jumla ya pointi 51 baada ya kucheza mechi 21.

Imewapiku wapinzani wake wa karibu Ihefu ambao nao wana pointi 51 tofauti yao ni kwenye idadi ya mabao ya kufunga. Dodoma wamefunga jumla ya mabao 38 huku Ihefu wakiwa na mabao 33. Hivyo Ihefu imepata tiketi ya kucheza play off ili ipate tiketi ya kushiriki Ligi Kuu Bara. 

MTAMBUE ALIYESHIKILIA USHINDI WA DABI YA KESHO NI NDANI YA SPOTI XTRA JUMAPILI YANGA WATOA TAMKO KUHUSU TSHISHIMBI KUWAVAA SIMBA KESHO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply