Uncategorized

NELSON MANDELA KUPO HIVI

admin August 2, 2020 9:47 am

LEO, Agosti 2 Uwanja wa Nelson Mandela utakuwa na kazi ya kubeba miguu 22 ya wanaume kutoka timu mbili wakisaka taji la Kombe la Shirikisho majira ya saa 9:00 alasiri.

Mchezo wa leo ambao ni wa fainali unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa huku ukiwa umebeba hisia kubwa kwa mashabiki pamoja na timu zote kujipanga kuhitaji ushindi.

Tayari mashabiki wameanza kujitokeza kwa wingi ndani ya uwanja ili kushuhudia fainali ambayo ni ya kwanza kufanyika kwenye Uwanja wa Nelson Mandela siku ya leo.

ARSENAL WASHANGILIA KWA FURAHA TAJI LAO LA 14 FA BAADA YA KUINYOOSHA CHELSEA BREAKING:AZAM YAMFANYIA VIPIMO MTUPIAJI WA COASTAL UNION

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply