Uncategorized

CHAMA ATWAA TUZO YA KIUNGO BORA VPL 2019/20, AWAPOTEZA KIKOTI NA MAPINDUZI

admin August 7, 2020 7:47 pm

CLATOUS Chama, kiungo wa Simba leo Agosti 7 ametwaa tuzo ya Kiungo Bora ndani ya msimu wa 2019/20. Kilele cha sherehe hizo ni ukumbi wa Mlimani City, Dar.

Chama amewashinda washindani wake ambao ni Lukas Kikoti wa Namungo mwenye pasi saba za mabao huku akitupia mabao manne pamoja na Mapinduzi Balama wa Yanga mwenye mabao matatu na pasi moja ya bao.

Chama ametupia jumla ya pasi 10 za mabao huku akifunga mabao mawili kwa msimu wa 2019/20.

NICOLAS WADADA WA AZAM FC BEKI BORA WA VPL 2019/20 SHIKALA MBABE WA LUIS NA SADALLA, ASEPA NA TUZO YA BAO BORA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply